Sifa ya nyumbu ni kufuata bila kutumia akili. Kwa misingi hiyo basi wote wanaopenda kuwaita wenzao wa chama pinzani 'nyumbu' ni nyumbu wenyewe maana wanashabikia neno bila hata kutafakari. Wanafuata mkumbo tu, ndio unyumbu wenyewe
View attachment 335940
Nao ni nyumbu tu..... kwa mjibu wa mtoa post maana wanafuata mkumboWale wanasowaita wenzao 'mafisiem' wanaitwaje?