Jephta2003
JF-Expert Member
- Feb 27, 2008
- 6,722
- 6,593
Umenikumbusha Mkamba na Nyanvisi,Ruaha na KidodiUmrnikumbusha MALECELA SECONDARY!
Umenikumbusha Mkamba na Nyanvisi,Ruaha na KidodiUmrnikumbusha MALECELA SECONDARY!
Ulikua unatokea Tanesco?Dah! Malecela ilikuwa shule yangu natokea home Kidatu na bike mpaka chela then jioni tunarudi na njia yetu ya forest na miwa mingi
Kwa sasa umejificha wapi?Umenikumbusha Mkamba na Nyanvisi na Kidodi
Nipo mji wa kunenge, na hamu sana ya kurudi hukoKwa sasa umejificha wapi?
Mji au jiji?Nipo mji wa kunenge, na hamu sana ya kurudi huko
Bado kipo mkuuNilishawahi kutembelea kwenye chuo cha national Institute of sugar chuo cha kitambo sana,ila sahv kimebakia majengo tu na yako imara,zamani kulikuwa na mipango sjui tulifeli wapi?
Ova
umeme wa REA huoMkuu hizo nyaya nazoziona juu ya nyuma ya tembe ni nyaya za umeme?
Ni kata/kijiji gani hicho mkuuumeme wa REA huo
Ulikua unatokea Tanesco?
Well captured![]()
Sanje hiyooooo   
My Edward Lowassa akifanya kampeni mwaka 2015 KILOMBERO viwanja vya Temu karibu na benki ya NMB
![]()
Kiwanda Cha sukari Cha KILOMBERO maarufu Kama K2
![]()
Usafiri maeneo ya Nyange,Msolwa na Mang'ula
![]()
Hoteli za misosi hasa vijijiji
![]()
Sheli za mafuta za vijijini
![]()
Nikielekea kuziba pancha.
![]()
Safu a milima ya Udzungwa
![]()
Daraja la mto Ruaha Mkuu
![]()
![]()
![]()
Hili daraja limejingwa mwaka 1932 na makaburu.
![]()
Makokoroni wanakuangalia tuKilombero View attachment 1656819