okyo
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,003
- 1,508
Hehehe kilabu cha sililiNakumbuka mateteni kwenye kitimoto
Hehehe kilabu cha sililiNakumbuka mateteni kwenye kitimoto
Yap napajua mkuuKuna anayepajua Mang'ula?
Unakaa kilombero sehemu Gani?![]()
Sanje hiyooooo   
My Edward Lowassa akifanya kampeni mwaka 2015 KILOMBERO viwanja vya Temu karibu na benki ya NMB
![]()
Kiwanda Cha sukari Cha KILOMBERO maarufu Kama K2
![]()
Usafiri maeneo ya Nyange,Msolwa na Mang'ula
![]()
Hoteli za misosi hasa vijijiji
![]()
Sheli za mafuta za vijijini
![]()
Nikielekea kuziba pancha.
![]()
Safu a milima ya Udzungwa
![]()
Daraja la mto Ruaha Mkuu
![]()
![]()
![]()
Hili daraja limejingwa mwaka 1932 na makaburu.
![]()
Upo huko kwa sasa?Yap napajua mkuu
Hapana chiefUpo huko kwa sasa?
Mkuu sikuizi kuna daraja linaitwa MagufuriKiko wapi kivuko cha kuvutwa na trekta?
ukisema chita unanikumbusha zamani sana sitaki hata kupasikiaNi mazingira mazuri sana nilipita hapo nikielekea chita
Mkutano huu Lowasa alikosea badala ya people's power,alisema Ccm hoyeeDuh, Chadema kupata tena ngekewa kama ya Lowasa itabidi wakatambike kusikojulikana.
![]()
Dah! Malecela ilikuwa shule yangu natokea home Kidatu na bike mpaka chela then jioni tunarudi na njia yetu ya forest na miwa mingiUmrnikumbusha MALECELA SECONDARY!
YeahKiwanda cha sukari kimeitengezea kilombero umaarufu uliotukuka.
Nimekumbuka nilivyoenda kumfuata dem wangu Warda mke wa diwani Rama. Nikalala mbega resort. Ndio mara yangu ya kwanza kufika kilombero.![]()
Sanje hiyooooo   
My Edward Lowassa akifanya kampeni mwaka 2015 KILOMBERO viwanja vya Temu karibu na benki ya NMB
![]()
Kiwanda Cha sukari Cha KILOMBERO maarufu Kama K2
![]()
Usafiri maeneo ya Nyange,Msolwa na Mang'ula
![]()
Hoteli za misosi hasa vijijiji
![]()
Sheli za mafuta za vijijini
![]()
Nikielekea kuziba pancha.
![]()
Safu a milima ya Udzungwa
![]()
Daraja la mto Ruaha Mkuu
![]()
![]()
![]()
Hili daraja limejingwa mwaka 1932 na makaburu.
![]()
😂😃😂😂mkuu ulikuwa unapaa na ndege za usiku?Kiberege salon mmeenda kunyolewa na wajukuu wa kalembwani,,, hahaha