Nyumba zinauzwa

geofreyngaga

JF-Expert Member
Sep 7, 2014
649
940
Nyumba 3 zinauzwa kila moja milioni mia tatu(tshs300,000,000/=) majadiliano yapo.
Nyumba ya kwanza ipo Kijitonyama karibu kabisa na ustawi wa jamii na hongera bar.
Nyumba ya pili ipo Kijitonyama karibu na ambiance/Kona bar afrika sana.
Nyumba ya tatu ipo mori karib na wanyama hotel.
Mtanisamehe kutoweka picha alieniomba nimuwekee tangazo kashindwa kuzipiga picha. Nyumba zote zipo kwenye surveyed areas.
Kwa mawasiliano piga 0652 494919
 
Back
Top Bottom