Hata mnara wa simu huwezi jenga kwenye 10 sqm labda kama anaweka bango la biashara.10Sq ni za kujenga mnara wa simu ai nyumba?
kumbe haitoshi nyumba eeh.,?Hilo eneo ni kwa ajili ya kujenga kiosk au? 10sqm ni kama 3.1mx3.2m
Nahitaji kiwanja cha kujenga maeneo ya kisasa au nzuguni barabarani mkuu. Niambie bei na ukubwa wa kiwanja.namba 0783085858.0715075858.0769881984Karibuni Dodoma.
Kama unahitaji Nyumba ya ama kupanga au kununua pamoja pia na Kiwanja/Viwanja Sehemu
yoyote katika Makao Makuu ya Nchi-Dodoma, Tuwasiliane.
Ni-pm
View attachment 372467
ha ha ha,actually ilikuwa ni mzaha,nilitaka kusema nataka kuanza kujenga choo cha nje kwanza kwahiyo naanza na kununua kiwanja cha sqm 10,nikaona unaweza kasirika kwa kukuharibia tangazo lako,ikabidi niplay Dumb.Alikimbia hesabu, usimlaumu sana.
square mita 10?? unajenga kibanda cha mbwa??dah,,bei nafuu sana,kwahiyo nikihitaji sqm 10,nalipa 300,000 tu...!!.
Ngoja nna laki tatu hapa haina kazi ntakuja nunua kiwanja
umejichanganya tena, mita 10 ni tofauti na square mita 10ha ha ha,actually ilikuwa ni mzaha,nilitaka kusema nataka kuanza kujenga choo cha nje kwanza kwahiyo naanza na kununua kiwanja cha sqm 10,nikaona unaweza kasirika kwa kukuharibia tangazo lako,ikabidi niplay Dumb.
Ha ha ha,kwakuwa nimeona uko open for jokes sometimes,ndo nimeexpose nilichokusudia,
hata kama nilipata f ya hesabu ndo nisijue kweli meter 10 ina ukubwa gani mkuu?
Karibu na Ikulu.
Kisasa cha pili toka kwenye lami kina 20 kwa 40. Na Nzuguni karibu na ambako stand ya mabasi itakapoamia kipo cha ukubwa wa 50 kwa 70. Nkuhungu cha ukubwa wa 650sqm. Check your inbox kwa details zaidNahitaji kiwanja cha kujenga maeneo ya kisasa au nzuguni barabarani mkuu. Niambie bei na ukubwa wa kiwanja.namba 0783085858.0715075858.0769881984
....ndo mana akasema..,hata kama ndio boom,sio kihivyo!The higher the demand.....?