Nyumba za wageni Arusha

Nyumba za wageni Arusha

GwaB

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2014
Posts
5,063
Reaction score
6,764
Habarini wadau,

Weekend ijayo natarajia kuwa Arusha.Naomba anaefahamu nyumba za wageni za bei nafuu na zaidi sana zenye usalama anijuze zilipo.

Nawasilisha.:typing:
 
mbona kama unalalamika........!!!!??? kwani wewe umejipangaje?? (in mangi's voice)
 
Kuna moja ipo maeneo ya Unga Ltd ni 2500/= tu mkuu
lakini asubuhi tegemea kuamka na chawa
SINA IMANI NA UKAWA
 
Limpopo guest house......
Masabeda guest house.......
Ngiwaranecha guest house.......
Mashele guest house........

Niendelee.....?.......
 
Bei Nafuu Kwa Swala la Usalama na safi Sahau ni Zero. Kwa style Hiyo ya Kubania Allowances, Jiandae Utanukiwa na Mi-papuchi ya MaCD wa AR
 
Ha ha ha ,Kama unajibu nitonye tu mkuu.
 
Limpopo guest house......
Masabeda guest house.......
Ngiwaranecha guest house.......
Mashele guest house........

Niendelee.....?.......

Endelea mkuu, zikiwa nyingi kama wagombea wa CCM ndio safi.:teeth:
 
Bei rahisi na usalama wapinawapi Kama unataka vya rahisi usalama hakunaga
 
Tafuta geleji ya mtei uliza inapopaki joldan ya mwanza maeneo hayo gest bei poa
 
Victoria
Green leaf lodge
Bei zinarange 20-25k
Km upo serious nkupe # ya simu!
 
Back
Top Bottom