Mwanakulipata
JF-Expert Member
- Jul 17, 2018
- 718
- 1,204
Tatizo ni mama mwenye nyumba anataka bila kujali mwezi mtukufuKijana, mwezi mtukufu huu
Naye mazahausi?Evelyn Salt hebu njoo huku
Sijakataa lakin nilimuomba kutokana na pilika pilika zangu asubuh nikikurupuka nakuwaga fasta...lakin ameshakataa sasa najidamka mapemaaa nadeki... kodi ikiisha nihame...maana nachelewa kutokaSasa mkuu unataka we uwe unatumia tu choo wanadeki wengine mwamba. Kununua mafagio sio ishu, kila mtu anaweza kununua mafagio na sabuni, kwani bei gani. Kila mtu akinunua mafagio yatajifagia yenyewe?
Sometimes vitu vingine kuamua tu mkuu. Kudeki choo unachotumia mwenyewe wala sio uduanzi. Siku ya zamu yako Amka mapema deki oga sepa zako
Hee kwanini sasa akabidhiwe yeye?Wenzio hapa kila tukipika lazima masufuria tuliyopikia tumkabidhi baba mwenye nyumba kwanza kabla ya kuyaosha, ila sihami ng'oo tutabanana hapa hapa!
Hii nzuri aisee...basi ata ukimwambia nitachangia hela ya usafi yeye anataka nidekiii tu [emoji706][emoji706][emoji706]Kiukweli naishi na mother house ila ndiyo kila mtu busy na mambo yake, ni salamu tu na stories kidogo,kuhusu usafi alisema atasimamia shoo zote za usafi ila tutachangia kidogo so kwangu it's ok kabisa.
Na anatujali wapangaji wake kipindi cha covid na kujifukiza alikua anaandaa mchanganyiko anatuamsha asubuhi tujifukize, akiona kimya umechelewa kuamka maybe anakuita ajue unaendeleaje isijekua umezidiwa humo ndani. [emoji122]
Duh basi tu huyo mama si mwelewa si hata angekuambia uwe unachangia kiasi fulani kama hataki ununue hiyo mifagio na dawa.😬Sijakataa lakin nilimuomba kutokana na pilika pilika zangu asubuh nikikurupuka nakuwaga fasta...lakin ameshakataa sasa najidamka mapemaaa nadeki... kodi ikiisha nihame...maana nachelewa kutoka
Aargh kana roho mbaya tu hako kamaza house kenuHii nzuri aisee...basi ata ukimwambia nitachangia hela ya usafi yeye anataka nidekiii tu [emoji706][emoji706][emoji706]
Kama mkaanga sumuAargh kana roho mbaya tu hako kamaza house kenu
MwanakulipataMwanakulitafuta