Jenga uza Chamazi na Mbagala: Kuna mtu humu ashawahi kununua hizi nyumba? Tunaomba mrejesho...

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,890
Ni mara ya pili nauliza na kujiuliza hili swali kuna mtu humu jf ashawahi kununua hizo nyumba??maana kiukweli hii mambo ya mbagala na chamazi inaconfuse sana wakuu

Maana kila siku zinapostiwa nyumba zipo nzuri sana halafu naomba mnipe info hao jenga uza ni mtu mmoja au kampuni mmoja anajenga nyumba zote hizo au ni jenga uza tofauti tofauti

Hili jambo limekua confused sana hadi wakala wa nyumba na majengo wanapaswa wazifanyie check up hizo nyumba maana inachanganya kweli
Please natamani sana kujua in deeply kama kuna mtu humu amewahi kununua hizo nyumba atoe ushuhuda hapa ili asaidie au kuokoa wengine!!!!!
 
Mbongo ukitaka kumuuzia kitu feki weka bei kubwa, kitu hata kikiwa genuine ukiweka bei nzuri haamini anajua feki. Ndugu zangu wa Kariakoo wanalijua hili na kulitumia ipasavyo.
So mnatuibia?
 
Ni mara ya pili nauliza na kujiuliza hili swali kuna mtu humu jf ashawahi kununua hizo nyumba??maana kiukweli hii mambo ya mbagala na chamazi inaconfuse sana wakuu

Maana kila siku zinapostiwa nyumba zipo nzuri sana halafu naomba mnipe info hao jenga uza ni mtu mmoja au kampuni mmoja anajenga nyumba zote hizo au ni jenga uza tofauti tofauti

Hili jambo limekua confused sana hadi wakala wa nyumba na majengo wanapaswa wazifanyie check up hizo nyumba maana inachanganya kweli
Please natamani sana kujua in deeply kama kuna mtu humu amewahi kununua hizo nyumba atoe ushuhuda hapa ili asaidie au kuokoa wengine!!!!!
Kununua nyumba spesheli kwa biashara ni sawa na kumwoa janea jolie utegemee kumlidhisha kwa dakika mbili...........Acha ujinga nyumba nzur ya kununua ni ile iliyokaliwa tayar au iliyokuwa na madhumun hayo
 
Back
Top Bottom