Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,729
Sitaki mambo makubwa mie!





Kumbe Pamoja na umuch know huna nyumba?
😂😂😂ss ujuaj na kumiliki nyumba vina uhusiano gani!?🙄Kumbe Pamoja na umuch know huna nyumba?
Chumvi 3 buku jamaniSaizi kila nyumba unayopita imezungushiwa ukuta ili tusiombane chumvi
Jamani hali ni ngumu hayo mageti fungueni tuChumvi 3 buku jamani
kufanya usafi humo ni kazi toshaView attachment 1447855
Nikipata hela za urithi nitajenga kama hii..
ukitoa hizo bati upige zile roof zisizoonesha bati au zisizokuwa na bati kabisa inakuwa nyumba kali sanaView attachment 1447855
Nikipata hela za urithi nitajenga kama hii..
Acheni kuji aggrandize kama wewe bado unapambana na maisha dogo😂😂😂ss ujuaj na kumiliki nyumba vina uhusiano gani!?🙄
WATU BHNAAA...
Wala
ukitoa hizo bati upige zile roof zisizoonesha bati au zisizokuwa na bati kabisa inakuwa nyumba kali sana
😂Wacha wee!Wala
Nitazaa watoto 9, watajigawanya vizuri tu
Wewe ni masikini wa akili!Kumbe Pamoja na umuch know huna nyumba?