Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Hii safi mkuu. Bigup. Mbwa ukimtunza vizuri anashukurani kuliko mlinzi tena wa kampuni ya ulinzi, huyo huyo atakugeuka. I like it.
sijakueleewa vizuri swali lako uliza tena?Mkuu sorry kama nitakuudhi na swali langu,
Hivi hapo nyumba kubwa yako ni huyo mnyama ama? 😱
Asante kwa kunipongeza hongera na wewe.Hii safi mkuu. Bigup. Mbwa ukimtunza vizuri anashukurani kuliko mlinzi tena wa kampuni ya ulinzi, huyo huyo atakugeuka. I like it.
Mkuu Lyandembela1 Ukija kufuata watoto wangu wa kike kwanza itabidi ukutane na huyu mbwa kisha ndio waweza kukutana na ho mabinti zangu Mbwa mkali huyu Mkuu usijaribu.Kwa hii maneno bila shaka una mabinti wa kutosha tuu MziziMkavu si bure, na ni warembo mbaya. kama sivyo mbwa kama huyu wa nini EU.
Asante kwa kunipongeza hongera na wewe.Hii safi mkuu. Bigup. Mbwa ukimtunza vizuri anashukurani kuliko mlinzi tena wa kampuni ya ulinzi, huyo huyo atakugeuka. I like it.
Nzuri kabisa hongera anaishi mbwa humu?au Paka shume?
Mkuu MziziMkavu humo wanaishi mbwa ... kuna watu wanawapenda sana mbwa wao - cheki na hawa wengine hapa chiniNzuri kabisa hongera anaishi mbwa humu?au Paka shume?
Binadamu anapenda wanyama kuliko binadamu mwenzake sijuwi kwanini hivi inakuwa?Mkuu MziziMkavu humo wanaishi mbwa ... kuna watu wanawapenda sana mbwa wao - cheki na hawa wengine hapa chini
![]()
![]()
![]()
![]()