Analipwa pesa za kutosha
wakata nyasi sio lazima watoke serikalini
Amezaa na ana watoto as well......sie mama zetu wanakatiwa nyasi na nani?????
Kwanza kukata nyasi nayo ni kazi ya kuita jeshi?
seriously ..?
Kwanza kukata nyasi nayo ni kazi ya kuita jeshi?
seriously ..?
Yule 'mission town' opportunistic makongolo yuko wapi? anashindwa kutoa hata msaada wa kufyeka nyasi?
si bora yeye anaetembelewa na wanajeshi kumsaidia, wake wengine wa wastaafu waliokwisha fariki nani anawakumbuka hata kuwataja?
Au nao hawana haki?
Tuwe na heshima na hisia katika ku-comment kwenye hoja nyingine. Uzito wa huyu Mama kwenye Taifa hili unautambua!!?? Rudi kwenu Malawi huko mkatengeneze Ulanzi. Usije kutafutia watu Ban humu. Chiya Chibi mkubwa kasoro mkia wee.Kwa kifupi huyu mama ni mchafu tu, mara nying mazingira ya home kwake huo ovyo ovyo..!! Naamin serikali inampa pesa kila mwez kama ilivyowah kusikika mwanzon, ila kwasababu ya uchafu wake ndo mana tunaona madudu hapo kwake, usafi kama huo hauhitaji pesa.. Tusiilaumu serikali, alaumiwe yee mwenyewe...!!
Wee inaonekana hujui chochote kuhusu huyu mama, Unafahamu kuwa alishawah kutumwa na wazungu amwekee Nyerere sumu kwenye msos na yee akakubali?? Bahati nzur mzee alishtukia, na toka siku hiyo mahusiano yao ndan ya nyumba hayakuwa mazur..! Uzito gan unampa? Kwa Lipi? Then kumwambia mtu ni mchafu sio kumvunjia heshima, ni kumtaka abadirike. Leo wameenda wanajeshi kufyeka majani nyumban kwake, kesho ataenda nan? wewe? Mwisho; Mi sio Mmalawi ni Mtz, Bora69 ndo nin?? Kichwa chako..!Tuwe na heshima na hisia katika ku-comment kwenye hoja nyingine. Uzito wa huyu Mama kwenye Taifa hili unautambua!!?? Rudi kwenu Malawi huko mkatengeneze Ulanzi. Usije kutafutia watu Ban humu. Chiya Chibi mkubwa kasoro mkia wee.