simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,795
- 9,733
ndiyo hela ngapi ya kitanzania
ksh 400,000,000 sawa na billioni 8
ndiyo hela ngapi ya kitanzania
Construction cost ksh 400,000
Ni ya serikali au ya binafsi
...hio bei ni ndogo mno mkuu!
Duh! Umeshafika Kenya wewe? kwanza nianzie hapo. Na kama kuna Serikali au nchi haijali wananchi wake ni Kenya, hivyo kusema Kenya inajali wananchi wake wenyewe wakikusikia wanaweza wakakupiga mawe. Au labda ulimaanisha wanawajali kivipi? maanake kuna njia nyingi za kujali!Uzuri wa Kenya wanawakumbuka pia Wananchi.
bora wao wamejenga kwao, mbona nyie mnaenda kujenga uswisi:shut-mouth: