Nyumba ya kupangisha inahitajika (Urgent)

Nyumba ya kupangisha inahitajika (Urgent)

Mwenda_Pole

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2008
Posts
281
Reaction score
67
Wakuu kama unafaham mtu yeyote anapangisha nyumba hapa jijini Dar es Salaam
naomba nipatie contacts.. nyumba inahitajika kwa ajili ya kupangisha..iwe ni kati ya Tsh150,000/- na Tsh 250,000/-

Natanguliza shukrani..
 
Mfikishie kwangu mgeni ukiwa waendelea kutafuta nyumba
 
Wakuu kama unafaham mtu yeyote anapangisha nyumba hapa jijini Dar es Salaam
naomba nipatie contacts.. nyumba inahitajika kwa ajili ya kupangisha..iwe ni kati ya Tsh150,000/- na Tsh 250,000/-

Natanguliza shukrani..

Je anataka nyumba ya vyumba vingapi? Na je anayehitaji ana familia kubwa?
Mimi nina nyumba ila hijamalizika vizuri
 
Wakuu kama unafaham mtu yeyote anapangisha nyumba hapa jijini Dar es Salaam
naomba nipatie contacts.. nyumba inahitajika kwa ajili ya kupangisha..iwe ni kati ya Tsh150,000/- na Tsh 250,000/-

Natanguliza shukrani..
Nyumba ipo Mbezi mwisho .5mins Walking from Morogoro Road.Ina Fence,Gage,Servants Quarter,choo cha nje,2Masterbedroom.2 rooms,Study/Games room,Jiko(tiles),bafu/choo.
Bei laki 3 pungufu unaongea.
PM if your intrested
 
Thanks for the responses, real appreciate.. ningependelea kati ya maeneo ya sinza, mwenge, Kijitonyama, ubungo, Survey au makumbusho.
Inaweza kuwa chumba na sebule au vyumba viwili na sebure but iwe na choo na jiko ndani pamoja na maji..
 
Sinza,mwenge,kijitonyama Hakuna nyumba ya Tshs 150,000 - 250,000 hicho ni chumba self contained unapata kwa hiyo bei au chumba na kasebure. ukizungumzia nyumba bei kuanzia 400,000 nakuendelea kutegemea na ubora wake.
 
Back
Top Bottom