K Kyindokyakombe Member Joined May 1, 2012 Posts 95 Reaction score 96 Jul 18, 2012 #1 Nyumba ya kupanga inapatikana ARUSHA MJINI maeneo ya DARAJA 2 ni self contained,ina MAJI,UMEME PIA INA jiko.Bei ni maelewano.Mawasiliano 0786164042
Nyumba ya kupanga inapatikana ARUSHA MJINI maeneo ya DARAJA 2 ni self contained,ina MAJI,UMEME PIA INA jiko.Bei ni maelewano.Mawasiliano 0786164042
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,890 Reaction score 1,543 Jul 19, 2012 #2 Draja 2 vibaka siku hizi wamepungua??
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,693 Jul 19, 2012 #3 Bushbaby said: Draja 2 vibaka siku hizi wamepungua?? Click to expand... Daraja 2 ndo wapi huko, kijenge? au sakina? au Mbauda? au kwa Mromboo? au unga limited?...:eek2:
Bushbaby said: Draja 2 vibaka siku hizi wamepungua?? Click to expand... Daraja 2 ndo wapi huko, kijenge? au sakina? au Mbauda? au kwa Mromboo? au unga limited?...:eek2:
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,890 Reaction score 1,543 Jul 19, 2012 #4 Kimbweka said: Daraja 2 ndo wapi huko, kijenge? au sakina? au Mbauda? au kwa Mromboo? au unga limited?...:eek2: Click to expand... Daraja 2 ni Chini ya Unga Ltd I think....hii mitaa ilikuwaga balaa sijui now days
Kimbweka said: Daraja 2 ndo wapi huko, kijenge? au sakina? au Mbauda? au kwa Mromboo? au unga limited?...:eek2: Click to expand... Daraja 2 ni Chini ya Unga Ltd I think....hii mitaa ilikuwaga balaa sijui now days
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,693 Jul 19, 2012 #5 Bushbaby said: Daraja 2 ni Chini ya Unga Ltd I think....hii mitaa ilikuwaga balaa sijui now days Click to expand... Kwa Arusha Sakina napaona pazuri kuliko kwengineko......
Bushbaby said: Daraja 2 ni Chini ya Unga Ltd I think....hii mitaa ilikuwaga balaa sijui now days Click to expand... Kwa Arusha Sakina napaona pazuri kuliko kwengineko......
IGWE Platinum Member Joined Feb 3, 2011 Posts 9,744 Reaction score 8,187 Jul 19, 2012 #6 Kimbweka said: Kwa Arusha Sakina napaona pazuri kuliko kwengineko...... Click to expand... Igwe like this.....
Kimbweka said: Kwa Arusha Sakina napaona pazuri kuliko kwengineko...... Click to expand... Igwe like this.....