Nyumba ya kupanga!

You don t knoe the source keep silent
Umedharau chakula ingawa pia chakula unacholetewa kwa kupitia watoto kwa namna nyingi hua sio kizuri watu wabaya huwatumia watoto kuupenyeza ubaya wao wewe utamuamini mtoto kumbe kuna mbaya kafanya yake kampa mtoto mpelekee fulani wewe unajichekesha kumbe unaingia kwenye mfumo
 
Mwanamke akifike miaka 30 hajaolewa Ila anapigwa na kuachwa anachanganikiwa

Huyu yupo katika panic mode
 
Samahani, Unafanya biashara gani..?
Maana hiki kiburi sio poa.
 
We were not ok for a long time!!! Then mtu anakupa chakula for wat
 
We mjinga hauoni mtoa mada ni chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…