Nyumba ya kupanga!

Hapo kwenye kumwaga chakula hukutumia busara. Kama hukutaka kula ungekataa au kwa kuwa ulishapokea ungeweza kukigawa hata kwa wahitaji mbona wapo wengi mitaani? Kuliko kumwaga. Kwasababu hujawakomoa kwa kuwa hawajui kama ulimwaga.
 
Hata dada Ako anaweza kuwa single mother ni swala la mda 🀣🀣

Mimi mwenyewe mtoto wa single mother Ila sifikirii Kama mama yangu alifikia hii hatua uliyofikia wewe ya kumchukia jirani na kumwaga chakula alichokupa ili kujinusuru na njaa
 
siku wakaniletea chakula na cake walimfanyia mtoto birthday nikapokea nikasubiri Giza liingie nikamwagia huko nyama ,pilau na cake Yao msyuuuu
Neria woooou Mzao wale Moyo ka Neria Marianeweeeee
 
Mimi mwenyewe mtoto wa single mother Ila sifikirii Kama mama yangu alifikia hii hatua uliyofikia wewe ya kumchukia jirani na kumwaga chakula alichokupa ili kujinusuru na njaa
You don t know the source of it sijaeleza vyote coz nimeon it s not necessary t explain!! Na iyo ndo main point ya mimi kumwaga chakula nilichopewa.
 
Mke wa mtu mtarajiwa Huyuu 😭😭😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…