cold water
JF-Expert Member
- Oct 6, 2021
- 323
- 1,128
- Thread starter
-
- #21
Aimbe Kwa melody wapi!!! Hana lolote makelele matupuKwahiyo kosa ni lipi hapo
Kutongozwa na jirani - hii ni kawaida kwa wanaume
Kukosa eneo la kulima mboga mboga - ni vizuri uongee na mwenye Nyumba wako ikiwa unahitaji kipabde cha kulima.
- Mwanamke kuimba muda wote, hapa sijajua ikoje , Ila usiingilie Uhuru wake Kama ameamua kuimba Ila Kama anaimba kwa style ya kupiga kelele bila melody jaribu kumrekebisha.
ushauri
Kuwa positive
Punguza chuki
MTU akikupa Chakula usikimwage au kutupa chooni .
Waweza mwambia nimeshiba n.k
Tafuta kazi ufanye mkuuJamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa.
siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote Asubuhi,mchana,jioni ye nikuimba imba tu mar wimbo huu aimbe kidogo aache aimbe huu aache kwangu naona makelele siku nikishinda nyumbani kwasababu Kuna mda nahitaji utulivu haiwezekani ni makelele tu
kingine walichonikera hii familia nilopanganayo wamelima maeneo yote yanayozunguka hawajaniachia ata kieneo nilime na mimi ata mboga tu ni wabinafsi kwani wanavyonitawala kama nyumba Yao!!!
Na bwana ake alinitongoza siku nimeanza tu kukaa hapa nasubir uyo mwanamke siku aseme fyooo nivujishe message za mume wake nimuoneshe bidada!!! Nimezitunza kwenye email au siku tu mume wake aseme fyoko niziachie nyoko Hawa nakaa nao basi tu hasa walivyoninyima eneo la kulima Nina visilani nao,siku wakaniletea chakula na cake walimfanyia mtoto birthday nikapokea nikasubiri Giza liingie nikamwagia huko nyama ,pilau na cake Yao msyuuuu
Jenga nyumba yako ndio ulime bustani!!!!!Jamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa.
siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote Asubuhi,mchana,jioni ye nikuimba imba tu mar wimbo huu aimbe kidogo aache aimbe huu aache kwangu naona makelele siku nikishinda nyumbani kwasababu Kuna mda nahitaji utulivu haiwezekani ni makelele tu
kingine walichonikera hii familia nilopanganayo wamelima maeneo yote yanayozunguka hawajaniachia ata kieneo nilime na mimi ata mboga tu ni wabinafsi kwani wanavyonitawala kama nyumba Yao!!!
Na bwana ake alinitongoza siku nimeanza tu kukaa hapa nasubir uyo mwanamke siku aseme fyooo nivujishe message za mume wake nimuoneshe bidada!!! Nimezitunza kwenye email au siku tu mume wake aseme fyoko niziachie nyoko Hawa nakaa nao basi tu hasa walivyoninyima eneo la kulima Nina visilani nao,siku wakaniletea chakula na cake walimfanyia mtoto birthday nikapokea nikasubiri Giza liingie nikamwagia huko nyama ,pilau na cake Yao msyuuuu
Ndo ninachofanya saizi akianza tu kuimba imba vinyimbo vyake nafungulia sabufa Hadi mwisho Sasa naumia sometime sauti ya sabufa Kali inaumiza masikioWasha muziki mnene mama
Washa halafu utoke asikuone 😅Ndo ninachofanya saizi akianza tu kuimba imba vinyimbo vyake nafungulia sabufa Hadi mwisho Sasa naumia sometime sauti ya sabufa Kali inaumiza masikio
Kuna wamama/wa dada kila kitu kwao nikikubwa na hasa wanaokaa pekeyao bila wanaume/ambao hawajaolewa,sijajua ni hormones imbalance or stress za maisha,hapo sio kwako lkn unataka sehemu yakulima mboga,Ww umepanga kwa mpangaji mwenzako au mwenye nyumba?Jamani nipo kwenye nyumba ya kupanga ,tunaishi familia mbili tu Sasa basi mimi ni mfanyabiashara,iyo familia nyingine mwanamke ni mama wa nyumbani mume wake mchakalikaji Yani ameajiliwa anachonikera huyu dada ambaye ni mke wa jamaa.
siku nikishinda nyumbani ni kuimba imba manyimbo mda wote Asubuhi,mchana,jioni ye nikuimba imba tu mar wimbo huu aimbe kidogo aache aimbe huu aache kwangu naona makelele siku nikishinda nyumbani kwasababu Kuna mda nahitaji utulivu haiwezekani ni makelele tu
kingine walichonikera hii familia nilopanganayo wamelima maeneo yote yanayozunguka hawajaniachia ata kieneo nilime na mimi ata mboga tu ni wabinafsi kwani wanavyonitawala kama nyumba Yao!!!
Na bwana ake alinitongoza siku nimeanza tu kukaa hapa nasubir uyo mwanamke siku aseme fyooo nivujishe message za mume wake nimuoneshe bidada!!! Nimezitunza kwenye email au siku tu mume wake aseme fyoko niziachie nyoko Hawa nakaa nao basi tu hasa walivyoninyima eneo la kulima Nina visilani nao,siku wakaniletea chakula na cake walimfanyia mtoto birthday nikapokea nikasubiri Giza liingie nikamwagia huko nyama ,pilau na cake Yao msyuuuu
🤣🤣🤣Akili hizi hizi unazotumia wewe au Kuna nyingine bossDada punguza kihoroo!
Au hii kesi isubiri tu, afya yako ya akili bado haipo stable.
Mbona hasira dada usingle mother sio kilema rudi ujishushe kwa mzazi mwenzio la.watakutumia na kukimbia huzuni😡Na ninakujua nyoko ww!!! Hamna sehem ya kublock nim block uyu msela
Kuna mbwa fulani iv wakizungu siwapendagi humu jf basi tu!!!! Wanafatiliana Sana!!! Kwani u single mother ni dhambi!!!!Mbona hasira dada usingle mother sio kilema rudi ujishushe kwa mzazi mwenzio la.watakutumia na kukimbia huzuni😡
Ndo ninachofanya saizi akianza tu kuimba imba vinyimbo vyake nafungulia sabufa Hadi mwisho Sasa naumia sometime sauti ya sabufa Kali inaumiza masikio
Ata wakitumia naazimaga ya dada Ako si natumia ya kwangu🤣🤣🤣Kuna mbwa fulani iv wakizungu siwapendagi humu jf basi tu!!!! Wanafatiliana Sana!!! Kwani u single mother ni dhambi!!!!
Hata dada Ako anaweza kuwa single mother ni swala la mda 🤣🤣Una Elimu ndogo ya Sosholojia na saikolojia hauna kabisa
MTU Kama wewe lazima utakuwa unapata matatizo yafuatayo
Kuachwa na wanaume Mara kwa Mara
Kukosa marafiki wa muhimu wa kukupa sapoti
Mahusiano duni kikazi.
Kuwa single mother , kila wakati
Ushauri karibu kwa tiba haupo sawa trust me
Uyo ndo umsubiri umpe uo ushauri sawa bwana ushauri🤣🤣Hata dada Ako anaweza kuwa single mother ni swala la mda 🤣🤣