Nyumba ya kupanga sinza/ubungo shekilango

bank

Senior Member
Jan 9, 2011
158
24
Wandugu nahitaji vyumba viwili na sebule iwe masters ktk maeneo hayo hap[o juu,na ikiwa na kajiko itapendeza zaidi.bei isizidi 200,000/= kwa mwezi.hata kama unajua ambayo itakuwepo baada ya mwezi hivi tafadhali naomba unitaarifu.
Kwa yeyote anayejua tafadhali nijulishe.

Asanteni sana kwa msaada wenu na poleni kwa usumbufu.
 
nashukuru wadau nitaendelea kusuburi

nina hela ila sio nyingi ningekugawia endelea kuvuta subira
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom