Nyumba ya kupanga:Mwananyamala au Kinondoni

Nyumba ya kupanga:Mwananyamala au Kinondoni

Babu Kijana

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2013
Posts
589
Reaction score
278
Habari wadau,

Wadau nimechoka kukaa mbali na kazini kwangu, naishi g/mboto kazi kinondoni natoka home udiku narudi usiku nauli hazishikiki naombeni msaada wenu.

Hivyo ninatafuta nyumba ya kupanga vyumba viwili na sebule self contained, umeme wa peke yangu na maji yawepo, iwe na uzio na parking maeneo ya mwananyamala au kinondoni au msasani. Uwezo wangu wa kodi si zaidi ya 250,000/= kwa mwezi na malipo ya miezi 6. Niko tayari kulipa kodi mwisho wa mwezi huu.

Naombeni mwenye kujua hayo maeneo anisaidie niweze kupata hiyo nyumba.
Asanteni.
 
Back
Top Bottom