Nyumba ya kupanga Morogoro

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,741
6,432
Ndugu zangu natafuta nyumba ya kupanga Morogoro iwe na sifa zifuatazo;
vyumba viwili na sebure
Choo ya kujitegemea
Jiko la kujitegemea.
Kuwe na maji
Nyumba iwe maeneo ya Forest hill karibu na moro hotel, Msamvu au kihonda ya karibu na Samaki Samaki.
Gharama isizidi 150,000 tsh/mwezi
Asanteni
 
Forest Hill huwezi pata kwa bei hiyo kule no ushuani. Halafu kwanini kihonda ya karibu na samakisamaki tu?. Tatu jaribu na kola B huko safI Dana na zipo nyingi. Kihonda karibu na samakisamaki jaribu kwenda ghorofa la bima Kihonda then ulizia kwa mzee tarimo kuna bar pale kuna apartments kajenga zina sifa hiyo. Pia jirani na kwa tarimo kuna apartments zaweza kuwa wazi sijui. Lakini Pia ukiwa maeneo hayohayo ulizia kwa pendo huyo ni bosi was crdb pale Ana apartments za kutosha kila moja ikiwa sifa uzitakazo. Eneo hilo ni karibu na samakisamaki. Five minutes drive. Kutoka kwa tarimo hadi samakisamaki ni dakika kumi kwa miguu so pray that you find something vacant there.
 
Lakini pote nilipokutajia bei ni zaidi ya hiyo so I am afraid utashindwa kama hiyo ndio budget ukomo wako. Zote zile ni 250.000 na zaidi. Lakini usiogope nenda ukaone
 
Asante kwa ushauri.. ni kweli karibu na samaki maana naskia hayo maeneo ya karibu- maji ni ya uhakika..ila pia nikaribu kwenda huduma za hospital mjini kwani pikipiki au daladala ni direct na sitaki kuanza kupanda usafiri fulani kabla ya kufika barabarani
 
Mkuu unaweza kuni pm namba yako? nna shida ya nyumba pia morogoro ila bei ni 150,000 - 180,000 sifa kama za jamaa
 
OK kweli maji sio shida sana pale. Na ni dakika chache kufika samaki/road. Lakini Pia huitaji kwenda road kupata pikipiki maeneo yale ukitoka tu nje ya nyumba utaona bodaboda inapita. Ni nyingi sana pale. Ila kwa two bedrooms self contained maeneo yale hupati kwa 150.000 I am afraid. But fuata maelekezo nlokupa nenda utaziona Zote
 
Ok kwa hiyo budget naweza kupata wapi labda? Asante kwa ushauri mkuu
 
Mkuu unaweza kuni pm namba yako? nna shida ya nyumba pia morogoro ila bei ni 150,000 - 180,000 sifa kama za jamaa
Ok kwa hiyo budget naweza kupata wapi labda? Asante kwa ushauri mkuu
Maeneo hayohayo ya karibu na samakisamaki unaweza kupata. Ni pakubwa sana pale. Unachukua mduara wote ule hadi educare secondari pote ni karibu tu na pale. Napata tatizo kidogo nikipiga picha ya vyumba viwili sebure jiko na choo Halafu iwe 150.000 mh. Pale kwa tarimo najua inazidi hiyo nadhani inachezea 250.000. Pia jirani kabisa na kwa tarimo kuna nyumba nyekundu ya mama mmoja was SUA zile ni a parents ziko Tatu nadhani. Zile alizijenga kama miaka kumi iliyopita labda zaweza kua za be hiyo ila ni nzuri sana na ziko fenced. Hizi za mzee tarimo ndio kazijenga last year so you can imagine. Kama sikosei zinaanzia 200.000 na zaidi ila nakushauri usiogope nenda ukazione muongee. We we ukishuka pale samakisamaki utaona bodaboda zimepaki pembeni mwambie yeyote akupeleke kwa mzee tarimo (Kihonda pub) atakukimbiza ni buku tu. Then baada ya pale waweza kuulizia za kwa Pendo Pia ni maeneo hayohayo tu. Kweli hilo Eneo ni zuri sana. Halafu ndo eneo la moro lililochangamka kwa sasa sababu samakisamaki ndio Morocco ilipo nyakati za usiku hiyo imefanya hata usafiri uwe mwingi kule.
 
Thanks very much mkuu ngoja nifanye mpango wa kumuagiza mtu mana nipo mbali na morogoro.
 
Ok kwa hiyo budget naweza kupata wapi labda? Asante kwa ushauri mkuu
Hata eneo hilo zipo za bei hiyo ila zinaweza zisiwe na ukamilifu was sifa unazotaka. Waweza kuta labda chumba cha Kulala ni kimoja na sebure na bafu na choo na jiko. Nenda Kwanzaa
 
Njoo Kihonda mazimbu rod MTU anatoka tarehe 01/3/2016 parking pia ipo....nicheck 0712 741466
 
Baba N, kinyerezi ni pazuri isipokuwa nitakuwa na changamoto ya mtoto kufuatwa na school bus kwasababu kuna maeneo mengine hawaendi wataniambia akae bording na bado ni mdogo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom