Nyumba ya kupanga Kinondoni B

Nyumba ya kupanga Kinondoni B

Xidian

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2012
Posts
503
Reaction score
149
Salaam wana JF, Kuna nyumba inapangishwa kinondoni B. Vyumba 2, kimoja ni master na kingine cha kawaida. kuna sitting room, Kitchen with Fence, maji na umeme.
BEI: TSH.250,000/=( Strictly no negotiation/dalali) Nyumba ilmelipiwa mwaka mzima na mpangaji anaondoka miezi miwili nyuma, kwa hiyo utakachotakiwa ni kulipia kwanza miezi miwili ili kumrudishia mpangaji anayeondoka, then baada ya miezi miwili utaripa kodi ya either miezi 6 au mwaka.

Aanayehitaji naomba anitafute haraka iwezekanavyo.

Faida: hakuna dalali kwa hiyo hulipi chochote zaidi ya hiyo pesa ya pango.
 
Kwenye tenants agreement nyingi huwa kuna clause ya -'no subletting' je ya kwako ikoje? au ni kwa idhini ya landlord/landlard
 
Nimepokea PM nyingi sana, kwa hiyo basi kwa mtu anayehitaji naomba tukutane katika kituo cha Kinondoni B ILI NIKAWAONYESHE.
MDA NI SAA 7 KAMILI MCHANA.
KWA ANAYEKUJA NAOMBA A-COMFIRM KUWA ATAFIKA EITHER KWA PM.

ANGALIZO: SIPENDI USUMBUFU BALI NAPENDA MTU ALIYE MAKINI.

AHSANTEN
 
Business is closed!:screwy::banghead:
 
Back
Top Bottom