Nyumba ya kupanga--Kijichi, Kurasini au Temeke

SG8

JF-Expert Member
Dec 12, 2009
3,955
2,125
Wakuu habari!
Naomba mnisaidie natafuta nyumba ya kupanga maeneo tajwa hapo juu;
.Iwe na vyumba vitatu vya kulala
.Choo cha ndani (preffered sio lazima)
. Iwe ndani ya fence
..Iwe inajitegemea (Hakuna kuingiliana na wapangaji wengine)
.Kodi isyozidi 200,000/= kwa mwezi na italipwa kwmwaka mzima
na vigezo vingine. Nataka kuhamia by January 2013
Asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom