Nyumba au appartment inatafutwa

mparange

Member
Nov 15, 2022
21
28
Natafuta nyumba ya kupanga au appartment maeneo ya Kurasini, Sabasaba, Mtoni, au kwa Azizi Ali DSM.

Nyumba iwe na kuanzia vyumba viwili au vitatu vya kulala, choo na jiko. Sehemu yenye usalama.

Kodi sizidi 300.000 kwa mwezi, nitalipa kodi ya mwaka mzima, nipigie namba 0754 279035 kuja kuikagua na kuona au 0653141189
 
Wa-check hao jamaa. Dalali tupa kule.
Screenshot_20221116-063556.png
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom