Nyumba ya kupanga inatafutwa sana.

Nyumba ya kupanga inatafutwa sana.

Chumba kimoja kikubwa,sebule kubwa,tiles,maji 24hrs,umeme luku ya kwako pekee,feni ipo,jiko na toilet zipo ndani, mita 30 toka main road. Mandela road near external bei LAKI TATU. SMS 0753-177788. NAWEZA KUCHUKUA WAPANGAJI SITA. YOU ARE ALL WELCOME. Kwa wanachuo mkiwa sita kila mmoja akatoa elfu hamsini nitawawekea vitanda.
 
Nimekutext..nahitaji ya vyumba viwili ila nataka nije kuicheck hii yako pia
 
JAMANI WAUNGWANA BASI ANGALAU IWE NJIA HII YA TEGETA ,AFIKANA,MBEZI NA KUELEKEA MWENGE DAAA NIMESGAMBULIWA KWELI SAS NA WW JAMBAZI UNANIAMBIA NIKANUNU GAZETI NIJIPEPEE KWELI? KWANI 150 ni ndogo?

Njoo huku maeneo ya shule ya Baobao kabla haujafika Mapinga nikupangishe kwenye nyumba yenye hadhi unayoitaka ila umeme wa solar
 
kuna chumba kipo kimoja mikocheni B, kingine kipo kawe junction ya mbezi beach single room gud condition....ni PM tu
 
Nilipoona nyumba nimeingia kutizama kumbe chumba!ninayo maeneo ya lion hotel Sinza.
 
Back
Top Bottom