Nyumba ya kupanga inatafutwa sana.

Nyumba ya kupanga inatafutwa sana.

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
JAMANI WANANCHI NATAFUTA NYUMBA YA KUPANGA MAENEO YA KARIBU NA MWENGE AU GARI MOJA KUFIKA MWENGE NAOMBA MSAADA NIKIPATA NAMBA kYA MWENYE NYUMBA NITAFURAI
NYUMBA IWE NZURI
Iwe self contained na uhakika wa maji kodi isizidi 150,000/= na iwe ya kisasa yenye hadhi nzuri isiwe mbali na barabara kuu
Mwenye nyumba weka namba nitakupigia au ni PM na unipe maelezo ya hyo nyumba USTAARABU NAUPENDA SANA
 
Sema una tafuta chumba kwa bei ulioweka hapo sio nyumba!!!Wewe unataka nyumba nzuri na pesa yenyewe ya ku unga unga eboo.
 
Kwa bei hiyo huwezi pata nyumba. Kwa maeneo hayo na kwa masharti hayo, labda chumba kimoja waweza pata.
 
Hiyo ni bei ya chumba kimoja tu kaka!!
 
Mimi ni mwenye lakini sikuPM, nina nyumba mitaa ya ubungo jirani na chuo kikuu....napangisha chumba kimoja self kwa 150k, sasa wewe kwa hela hiyo unataka nyumba karibu na mwenge....labda ukatafute jangwani mafuriko utapata kwa bei hiyo
 
JAMANI WANANCHI NATAFUTA NYUMBA YA KUPANGA MAENEO YA KARIBU NA MWENGE AU GARI MOJA KUFIKA MWENGE NAOMBA MSAADA NIKIPATA NAMBA kYA MWENYE NYUMBA NITAFURAI
NYUMBA IWE NZURI
Iwe self contained na uhakika wa maji kodi isizidi 150,000/= na iwe ya kisasa yenye hadhi nzuri isiwe mbali na barabara kuu
Mwenye nyumba weka namba nitakupigia au ni PM na unipe maelezo ya hyo nyumba USTAARABU NAUPENDA SANA

Sasa jamani mnanishambulia muungwana mwenzenu si mniambie tu sasa kwa bei gani nitapata self kwa maeneo hayo..duu kweli si mchezo nipeni msaada wajameni kaaa......
 
Hahahah mzee umekuwa mpole.
tatizo ulianza kuweka mbwembwe nyingiiii,halafu kwenye kodi ukafanya kituko.
Kwa masharti yako na vigezo vya nyumba unayoitaka si chini ya 400,000 kwenda juu kwa maeneo yale.Na kama utapata
 
Mimi ni mwenye lakini sikuPM, nina nyumba mitaa ya ubungo jirani na chuo kikuu....napangisha chumba kimoja self kwa 150k, sasa wewe kwa hela hiyo unataka nyumba karibu na mwenge....labda ukatafute jangwani mafuriko utapata kwa bei hiyo

Mkuu acha masihara bana
 
350 nikupe Ubungo pembeni ya Sharon hotel. Master , vyumba 2 jiko store na sebule kubwa.
 
JAMANI WANANCHI NATAFUTA NYUMBA YA KUPANGA MAENEO YA KARIBU NA MWENGE AU GARI MOJA KUFIKA MWENGE NAOMBA MSAADA NIKIPATA NAMBA kYA MWENYE NYUMBA NITAFURAI
NYUMBA IWE NZURI
Iwe self contained na uhakika wa maji kodi isizidi 150,000/= na iwe ya kisasa yenye hadhi nzuri isiwe mbali na barabara kuu
Mwenye nyumba weka namba nitakupigia au ni PM na unipe maelezo ya hyo nyumba USTAARABU NAUPENDA SANA
Umejipangia kodi, eneo, umbali, hata hadhi. hongera.
Ni kama kusema....Natafuta mchumba/mke. awe bikira, awe na mshahara mkubwa awe mtulivu, awe mrembo, asiwe malaya, awe na figure eight, mshahara wake wote anikabidhi mimi, asichelewe kufika nyumbani, ajue kupika, awe msafi KHA mtani.
Wewe sema unatafuta nyumba full stop masharti tutapanga sie wenye nyumba....
 
Sasa jamani mnanishambulia muungwana mwenzenu si mniambie tu sasa kwa bei gani nitapata self kwa maeneo hayo..duu kweli si mchezo nipeni msaada wajameni kaaa......

Nasikia hamtakiwi kurudi tena Jangwani kwenye mto Msimbazi... Mungu atakusaidia utapata sehemu nzuri tuu iliyo salama. Jangwani hapakufai mrembo kama wewe
 
JAMANI WANANCHI NATAFUTA NYUMBA YA KUPANGA MAENEO YA KARIBU NA MWENGE AU GARI MOJA KUFIKA MWENGE NAOMBA MSAADA NIKIPATA NAMBA kYA MWENYE NYUMBA NITAFURAI
NYUMBA IWE NZURI
Iwe self contained na uhakika wa maji kodi isizidi 150,000/= na iwe ya kisasa yenye hadhi nzuri isiwe mbali na barabara kuu
Mwenye nyumba weka namba nitakupigia au ni PM na unipe maelezo ya hyo nyumba USTAARABU NAUPENDA SANA

Bi mkubwa kwa masharti hayo na kodi hiyo ni wazi kabisa kwamba utakua nyumba ndogo ya mwenye nyumba. maana sidhani kama kuna nyumba self contained, iwe Mwenge, iwe na maji ndani ya Dar kwa bei ya bia hamsini.
 
Nyumba ipo ila ya kawaida, chumba na sebule na choo ndan ila maji na umeme mtashare na wenzako watatu
 
Na maji pia yapo. Ipo Ukonga Banana mawasiliano 0716421233.
 
JAMANI WAUNGWANA BASI ANGALAU IWE NJIA HII YA TEGETA ,AFIKANA,MBEZI NA KUELEKEA MWENGE DAAA NIMESGAMBULIWA KWELI SAS NA WW JAMBAZI UNANIAMBIA NIKANUNU GAZETI NIJIPEPEE KWELI? KWANI 150 ni ndogo?
 
Wewe sio mzima, unatafuta nyumba self contained AFRICANA na Mbezi beach kwa laki na nusu ? wewe umetokea Usukumani kijiji gani, maana hata wanyakyusa wapenda dezo hawajafikia kiwango cha kutaka nyumba AFRICANA kwa bei ya maandazi ya siku moja. Dada hiyo hela yako ukiichanga kwenye kitchen party hata kadi hupewi.
 
Mkuu unawapenda wasukuma na wanyakyusa eeh?! :|
 
Back
Top Bottom