Nyumba ya kupanga inahitajika | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ya kupanga inahitajika

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Kitomai, Oct 13, 2010.

 1. Kitomai

  Kitomai JF-Expert Member

  #1
  Oct 13, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,032
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  SIFA ZAKE ZIWE KAMA IFUATAVYO.
  1. Iwe na vyumba vinne vya kulala, vyumba hivyo viwe vipana vya kadri kiasi kiasi cha kuweka kitanda cha sita kwa sita. Na ikiwa ina vyumba vitatu basi pawepo na nyumba ndogo ya ziada pembeni.
  2.Iwe maeneo yeyote Dar es Salaam, isipokua Tegeta au katika eneo lenye msongamano mkubwa wa raia, maeneo ya Mbezi Beach, kawe, Tabata, Chang'ombe, yatapewa kipaumbele
  3. Bajeti shs 1mil(milioni moja tu).
  Ikiwa unayo nyumba hiyo tuwasiliane kupitia nambari za simu zifuatazo
  0717114409, 0755312233 au 0784225000
   
Loading...