Nyumba ya kupanga inahitajika

Uswe

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
2,204
626
Natafuta nyumba ya kupanga, iwe na vyumba vya kulala viwili au zaidi.

iwe eneo lolote dar es salaam.

mwenye taarifa naomba aniPM
 
Natafuta nyumba ya kupanga, iwe na vyumba vya kulala viwili au zaidi.

iwe eneo lolote dar es salaam.

mwenye taarifa naomba aniPM
Ipo mbezi makonde vyumba 2 vya kulala, choo ndani kwa ndani,jiko, sitting room, fenced na parking kubwa. bei 200,000 kwa mwezi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom