Nyumba ya kupanga inahitajika Dar

Nyumba ya kupanga inahitajika Dar

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
7,234
Reaction score
12,811
Nahitaji nyumba ya kupanga kuanzia vyumba viwili na iwe na sebule, jiko, store, master bedroom iwe moja, iwe kwenye uzio, isiwe zile nyumba za kizamani korido refu kama uwanja wa mbio....

Maeneo isiwe uswahilini iwe karibu na mwenge, sinza, ubungo, mbezi, kimara, Mikocheni, kinondoni, morroco, mbezi beach..... Kama ni apartment iwe na parking ya kutosha.

Bajeti kuanzia 1 Tsh up to 450,000/= Tshs.
 
Kuna appartment za vyumba viwili Changanyikeni. Kodi laki sita kwa mwezi... plus na hela ya udalali...
 
Nahitaji nyumba ya kupanga kuanzia vyumba viwili na iwe na sebule, jiko, store, master bedroom iwe moja, iwe kwenye uzio, isiwe zile nyumba za kizamani korido refu kama uwanja wa mbio....

Maeneo isiwe uswahilini iwe karibu na mwenge, sinza, ubungo, mbezi, kimara, Mikocheni, kinondoni, morroco, mbezi beach..... Kama ni apartment iwe na parking ya kutosha.

Bajeti kuanzia 1 Tsh up to 600,000/= Tshs.
ipo moja tabata Ila haina uzio mkuu itakufaaa TABATA KIMANGA
 
Sidhani kama utakutana na land lord hapa... Hujui kwamba mjini hapa asilimia 40 na zaidi ya wabongo tunajihusisha na shughuli za udalali kusupport kipato? Kuna siku dem wangu mmoja hivi alikuwa anataka kununua gari. Wacha nimfanyie udalali na mimi nikala vi laki kadhaa hapo...
 
Ipo moja kariakoo ina geti lakini hamna uzio. Bei maelewano
 
Mkuu nichek kwa 0713415537 Nyumba zipo mwenge na Mbezi kuanzia tangia bovu, wewe tu nikuchakua unapanda ipi
 
Hapa mjini huwezi kupanga bila dalali hata uende kwa mwenyenyumba atakwambia rudi uje na dalali! 0755957515 nyumba sinza zipo dizain unayotaka nichek
 
Back
Top Bottom