Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,734
- 9,916
Habari wakuu.
Kuna Researcher alikuwa anataka nyumba ya Kununua,iwe karibu kabisaaa ya Gate la kuingilia Mbuga ya Serengeti National Park.
Mwenyenayo anaweza kuleta pendekezo lake nimtumie.
Unaweza kutuma through PM au kwenda kweny email :- thetiptop@outlook.com