nyumba ya kisasa ya kupanga magomeni mapipa

dullymo

Senior Member
Aug 21, 2009
105
5
hlw guyz, napangisha nyumba yangu ipo magomeni mapipa na ipo katika hatua za mwisho kumalizika.

- ina vyumba viwili kimoja master
- sitting room kubwa na balcon
- ukumbi mkubwa
- full tiled floor
- full gypsum board
- uwa wa kulaza gari
- aluminium windows n grills
- jiko na choo cha nje

mbele kuna frame 4 za maduka suitable kwa biashara ya vipodozi, salon, dula la chakula, internet cafe nk

mtaa hauna historia ya wizi au uhalifu wowote.

nyumba inapangishwa kwa tsh 300,000 kwa mwezi na frame moja ni 150,000 kwa mwzi. kodi inatakiwa ya mwaka mzima.

contact
0713 744 144
0776 744 144 - abdul
 
Attachments

  • Photo-0161.jpg
    Photo-0161.jpg
    236.2 KB · Views: 275
hlw guyz, napangisha nyumba yangu ipo magomeni mapipa na ipo katika hatua za mwisho kumalizika.

- ina vyumba viwili kimoja master
- sitting room kubwa na balcon
- ukumbi mkubwa
- full tiled floor
- full gypsum board
- uwa wa kulaza gari
- aluminium windows n grills
- jiko na choo cha nje

mbele kuna frame 4 za maduka suitable kwa biashara ya vipodozi, salon, dula la chakula, internet cafe nk

mtaa hauna historia ya wizi au uhalifu wowote.

nyumba inapangishwa kwa tsh 300,000 kwa mwezi na frame moja ni 150,000 kwa mwzi. kodi inatakiwa ya mwaka mzima.

contact
0713 744 144
0776 744 144 - abdul

Hii ni verandah mkuu sio balcon1 balcon ni ya juu kwenye ghorofa!
 
masikhara sasa. sijui nyumba ya kisasa kivipi............huyu ni dalali anatafuta pa kuanzia.
 
is this real nyumba ya kisasa na choo cha nje??
heheh mzee mie na kuzunguka kwangu kote sijawahi kuona nyumba ya kisasa ilokosa choo cha nje hata kuwe na choo kila chumba still choo cha nje lazima kiwepo.
 
heheh mzee mie na kuzunguka kwangu kote sijawahi kuona nyumba ya kisasa ilokosa choo cha nje hata kuwe na choo kila chumba still choo cha nje lazima kiwepo.

choo cha nje unamaanisha choo cha uani au choo cha nje unamaanisha choo ambacho hakiko ndani ya chumba cha kulala ambacho kinaweza kutumiwa na wageni lakini hautoki ndani ya nyumba..

bei gani ??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom