NYUMBA YA ILIYOJENGWA KISASA INAUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
- Ipo mbezi mwisho barabara ya morogoro
- umbali wa mita 60 toka barabara kuu iendayo Morogoro
- Ni mpya bado haijakaliwa 90% ya matengezezo imekamilika
- Vyumba 4 vya kulala 1 master
- Sebule kubwa , dinning . store na public toilet
- kiwanja kina sqm 625
- kimepimwa na kina hati
- imeezekwa kwa bati toka South Africa
- umeme haujaunganishwa na nguzo ipo pembeni ya nyumba
- neighborhood ni zuri ya kuvutia
- bei 170milion
- tuwasiliane kwa kuiona na mazungumzo mengine 0657 145555 & 0755 099 291 thomasnelson564@yahoo.com