Nyumba ya kisasa inauzwa ipo mbezi mwisho

Akiri

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,445
212
NYUMBA YA ILIYOJENGWA KISASA INAUZWA INA SIFA ZIFUATAZO
  • Ipo mbezi mwisho barabara ya morogoro
  • umbali wa mita 60 toka barabara kuu iendayo Morogoro
  • Ni mpya bado haijakaliwa 90% ya matengezezo imekamilika
  • Vyumba 4 vya kulala 1 master
  • Sebule kubwa , dinning . store na public toilet
  • kiwanja kina sqm 625
  • kimepimwa na kina hati
  • imeezekwa kwa bati toka South Africa
  • umeme haujaunganishwa na nguzo ipo pembeni ya nyumba
  • neighborhood ni zuri ya kuvutia
  • bei 170milion
  • tuwasiliane kwa kuiona na mazungumzo mengine 0657 145555 & 0755 099 291 thomasnelson564@yahoo.com
  • IMG_2166.JPG IMG_2169.JPG IMG_2173.JPG IMG_2206.JPG

IMG_2211.JPG IMG_3062.JPG
 
Mbezi Shida ya maji, Bati sio za SA kama unavyo sema ni za Dar zimepakwa rangi tu.....Halafu hapo ni mlimani.....kwa hiyo pesa huwezi pata mtu....shusha mpaka 120m...unaweza pata wa kuiona...
 
Mbezi Shida ya maji, Bati sio za SA kama unavyo sema ni za Dar zimepakwa rangi tu.....Halafu hapo ni mlimani.....kwa hiyo pesa huwezi pata mtu....shusha mpaka 120m...unaweza pata wa kuiona...
Hebu nielimishe mkuu: ni lipi/yapi matatizo ya nyumba kuwa mlimani?
 
Mbezi Shida ya maji, Bati sio za SA kama unavyo sema ni za Dar zimepakwa rangi tu.....Halafu hapo ni mlimani.....kwa hiyo pesa huwezi pata mtu....shusha mpaka 120m...unaweza pata wa kuiona...
Asante kwa maoni yako , bati zimepakwa rangi gani kiongozi? umewahi fika mwanza mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom