Nyumba ya Historia mkoani Kilimanjaro

Miiku

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
3,835
Reaction score
2,650
"NYUMBA YA HISTORIA" Nyumba hii ilijengwa mwaka 1949, katika Kijiji cha Nkoringa, Kata ya Kibosho, Wilaya ya Moshi Vijijni, Mkoa wa Kilimanjaro. Ndani yake ilikuwa na patision kuu sita "6" (1) Sehemu ya mbuzi (komburu) (2) Sehemu ya Ng'ombe (koombe) (3) Dari (Kayi) (4) Sehemu anakolala Bibi (Kondoo) (5) Sehemu wankolala wajukuu (Kirin) na (6) Eneo la mlangoni (Muungon) "Story itaendelea"
 
Yote hiyo sababu Kilimanjaro kuna uhaba wa ardhi??!!, mbona maajabu hayo ya kulala nyumba moja na wanyama??!!---- kondoo, Mbuzi, ng'ombe, watoto, wajukuu, kuku nk. 🤣🤣, vipi Masawe??
 
Ailyi ngillawonyi mchallo !?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…