Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 Dec 11, 2009 #1 Nyumba tatu za kiajabu duniani Attachments dl3666.com-64b63bb5e0.jpg 59.4 KB · Views: 132 dl3666.com-9881c88d1a.jpg 40.7 KB · Views: 151 dl3666.com-9389692c75.jpg 55.9 KB · Views: 130
Saint Ivuga JF-Expert Member Joined Aug 21, 2008 Posts 55,028 Reaction score 59,657 Dec 11, 2009 #2 hadi hapo huwezi kuniingiza kwenye hizo nyumba labda hiyo ya pili
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 Dec 11, 2009 Thread starter #3 nyani<abiziani> said: hadi hapo huwezi kuniingiza kwenye hizo nyumba labda hiyo ya pili Click to expand... Unaogopa nini mkuu Nyani?watu weupe wanaishi kama kawaida njoo huku ujaribu kulala usiku mmoja tu </abiziani>
nyani<abiziani> said: hadi hapo huwezi kuniingiza kwenye hizo nyumba labda hiyo ya pili Click to expand... Unaogopa nini mkuu Nyani?watu weupe wanaishi kama kawaida njoo huku ujaribu kulala usiku mmoja tu </abiziani>
Tumain JF-Expert Member Joined Jun 28, 2009 Posts 3,154 Reaction score 74 Dec 11, 2009 #4 tufahamishe wapi zipo tukavinjari good to visit
MaxShimba Platinum Member Joined Apr 11, 2008 Posts 36,008 Reaction score 4,092 Dec 11, 2009 #5 Hii nyumba ya barafu likitoke jua, ipo kazi kweli kweli.
Eqlypz JF-Expert Member Joined May 24, 2009 Posts 4,065 Reaction score 651 Dec 11, 2009 #6 Kazi nzuri ndani ya photoshop.
K Kijamani Senior Member Joined Nov 10, 2009 Posts 159 Reaction score 9 Dec 11, 2009 #7 Nipeni taarifa kama mojawapo itauzwa ninunue.