Nyumba semi finished inauzwa mbezi

Nyumba semi finished inauzwa mbezi

MARILYN

Member
Joined
Feb 23, 2011
Posts
96
Reaction score
15
nyumba inauzwa mbezi luis, ina vyumba vinne vya kulala na master mbili, sebule, jiko, dinning na store, ipo ndani ya kiwanja cha eka mbili kasoro, iko barabarani hivyo inafaa kwa biashara kama kufungua sheli, shule n.k
 
bei itakuwa miliona 600 ha ha ha just guesing
 
toa hata muongozo wa bei mkuu ili anaekupigia ajua pa kuanzia maongezi.otherwise watu wataogopa hata kukupigia wakidhani unauza mabilioni
 
nitumie e-mail adress yako please kwenye namba yangu 0714133562 ili niweze kukutumia picha na ramani

...hata tangazo lako basi ungewaomba watu wakutumie email zao ili uwatumie tangazo lako la nyumba inyaouzwa!😡:A S 13:
 
hawa watu hawajui biashara za matangazo kabisa.
watu hamonani kwa nini usitoe taarifa zote ili kupunguza upungufu?
 
Bei ni milioni mia tatu hamsini, maelewano yapo,
 
bei ni millioni mia tatu tu! unaruhusiwa kuja kuiona muda wowote, we nipigie simu nikuelekeze
 
...hata tangazo lako basi ungewaomba watu wakutumie email zao ili uwatumie tangazo lako la nyumba inyaouzwa!😡:A S 13:
nikwambia hivyo coz picha zinaukubwa ambao hii forumn hai accomodate!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom