House4Sale Nyumba nzuri yakuhamia, vyumba 3, Tshs.60 milioni, Goba muungano

House4Sale Nyumba nzuri yakuhamia, vyumba 3, Tshs.60 milioni, Goba muungano

Kiwanja kina ukubwa wa SQM.500.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.

Ujenzi wa kisasa na nyumba ipo ndani ya Fensi.
Vyumba 3 (Masta 1) Pia kjna Sebule,Jiko,
Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani.

Nyumba ina Tiles,Gypsum,
Dirisha za Vioo, ACs na Parking yakutosha badhi tu ya sifaze.

___________

ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)

Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.

+255714591548

___________mpg

Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

View attachment 3306784View attachment 3306787View attachment 3306788
Madalali wapumbavu sana, hapo ashaongeza pesa bado tena anataka 10% ( milioni 5)

Pia kumpeleka tu site apewe 50,000
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom