Nyumba Nzuri sna ya Kupanga Bei chee kabisa

Nyumba Nzuri sna ya Kupanga Bei chee kabisa

cagu

Member
Joined
Oct 27, 2010
Posts
79
Reaction score
12
Nyumba hiyo hapo chini nahitaji mtu wa kunirudishia hela kwa miezi 3 iliyobaki. Nilipanga tangu tarehe 15.06.015 na kodi inaisha tarehe 15.12.2015. Kodi yake ni shilingi laki mbili kwa mwezi. Nyumba ina vumba viwili vya kulala kimojani master, Sebule kuwa tu, jiko na choo cha public ndani kwa ndani. Kwa miezi mitatu iliyobaki ingekuwa 600,000 lakini mimi naomba nipatiwe 400,000 tu. Nyumba yangu imeisha na haina mtu wa kukaa nahitji kuhamia haraka iwezekanavyo.
Nyumba hii ipo pugu Dar es salaam, Umeme na maji ya uhakika kabisa. Atakaye hitaji awasiliane ami kwa simu au PM. 0717441943
 
Weka picha basi tuione hiyo nyumba
 
Back
Top Bottom