BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Yani wanajitajia tu bei 350!!! Wanadhani pesa za kuokota tu au unachimba unazichukua.Mi nimejenga kama hii kwa milioni sitini
kwa hesabu ya haraka hiyo nyumba haizidi milioni 100
Yani wanajitajia tu bei 350!!! Wanadhani pesa za kuokota tu au unachimba unazichukua.Mi nimejenga kama hii kwa milioni sitini
Dalali unaishi room moja ya kupanga unapewa kazi ya kuuza nyumba mil.300+ alafu unaongea kama ndo tajiri mwenyewe! Shwain
Sent using Jamii Forums mobile app
Ambazo ziko wapi mkuu?NSSF walikuwa wanauza nyumba ya vyumba vitatu milioni 72 VAT inclusive. Kwa hiyo m600 NSSF wangekuuzia nyumbaTISA kama hizi.
Na kiwanja cha ukubwa huo hapo Mbezi thamani yake ikoje?Yani wanajitajia tu bei 350!!! Wanadhani pesa za kuokota tu au unachimba unazichukua.
kwa hesabu ya haraka hiyo nyumba haizidi milioni 100
Daah dalali una maneno kama vile wewe ndiye mwenye nyumba.Hiyo sio nyumba itakuwa mtego na siku si nyingi utakuangamiza na wote wakaao humo ndani.yaani hela ya kujengea fenc wewe umejengea family house? Aaah ndg hebu kuwa serious acha utani na kudanganya wenzio
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu njoo kkoo uuziwe kiwanja au jumba bovu la udongo kwa ml 800 ndio utajua kati ya nyumba na kiwanja kipi kina bei...Yani wanajitajia tu bei 350!!! Wanadhani pesa za kuokota tu au unachimba unazichukua.
kwa hesabu ya haraka hiyo nyumba haizidi milioni 100
Sehemu ipi hapo kinzudi?? karibu na kanisa la Roman Catholic au sehemu gani?? maana hayo maeneo ni mwenyeji sanaHapana haiko karibu na mto ni maeneo mazuri kwa makazi hapa panaitwa kinzudi majengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Sehemu ipi hapo kinzudi?? karibu na kanisa la Roman Catholic au sehemu gani?? maana hayo maeneo ni mwenyeji sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Mkuu maeneo ilipo iyo nyumba kwa bei hizo anazosema ni sawaThose who go to hunt go with dogs and not with cats.
Bosi wako anawinda wateja wakununua property yake and he has commited a grave mistake of giving the hunting job to a cat like u.
Broker unatoa lugha za kejeli!!! Una safari ndefu sana katika keria yako.
huyó amejenga udindivu huko mkuuMkuu me nakushauri ungesoma vizuri hilo tangazo, (1) eneo ni mbezi beach mtaa wa tatu kutoka ufukweni yaani baharini
(2) Eneo lina ukubwa wa 3500sqm
(3) Ndani ya eneo kuna nyumba mbili na moja ina vyumba 3 kimoja Self na nyingine ina vyumba 3 vyote ni self
(4) nyumba ya kwanza ina mpangaji analipa dola 800 kwa mwezi mmoja ambayo si chini ya Tsh 1,700,000/=
Ya pili mpangaji analipa Dola yaani usd 1000 kwa mwezi mmoja sawa na Tsh 2,250,000/=
Sasa kwa mchanganuo huu unaweza kulinganisha na hako kabanda kako ulikojenga huko tuangoma?
Sent using Jamii Forums mobile app
Usifananishe Masaki na maswala ya kipuuzi mkuu, Masaki for lifestyle Mbezi pako overattedSamahani, hivi kuishi Mbezi Beach au Masaki wapi bora?
[emoji23][emoji23][emoji23]Baba ako angekuwa na NYUMBA yenye thamani hata ya million 30 tu hapa mjini nna uhakika usingekuwa dalali
Kigamboni. Kwani Mbezi beach kuna nini cha maana? Au limekuchanganya neno beach?Ambazo ziko wapi mkuu?
Hili bandiko linanadi nyumba zipo mmbezi Beach ujue ooooh!
Hivi, Mapinga iko Dar au Bagamoyo?hii Ipo Mapinga shule ukitoka Bunju B. dsm,
inauzwa milion 50. . . ina umeme, maji, room 3 kimoja masta, jiko, na sitting room
mapinga inahesabika ipo bagamoyo, ila sí mbali kutoka palé bunju mwisho dsm,Hivi, Mapinga iko Dar au Bagamoyo?
Ukweli mtupu,mbezi beach ni porini tu.Usifananishe Masaki na maswala ya kipuuzi mkuu, Masaki for lifestyle Mbezi pako overatted
Thamani ya ardhi kwa kigamboni ni sawa na ile ya mbezi beach?Kigamboni. Kwani Mbezi beach kuna nini cha maana? Au limekuchanganya neno beach?
Mbezi beach ni mashamba ya mpunga!Ukweli mtupu,mbezi beach ni porini tu.
Aiseee 😀😀Usifananishe Masaki na maswala ya kipuuzi mkuu, Masaki for lifestyle Mbezi pako overatted