Mkuu me nakushauri ungesoma vizuri hilo tangazo, (1) eneo ni mbezi beach mtaa wa tatu kutoka ufukweni yaani baharini
(2) Eneo lina ukubwa wa 3500sqm
(3) Ndani ya eneo kuna nyumba mbili na moja ina vyumba 3 kimoja Self na nyingine ina vyumba 3 vyote ni self
(4) nyumba ya kwanza ina mpangaji analipa dola 800 kwa mwezi mmoja ambayo si chini ya Tsh 1,700,000/=
Ya pili mpangaji analipa Dola yaani usd 1000 kwa mwezi mmoja sawa na Tsh 2,250,000/=
Sasa kwa mchanganuo huu unaweza kulinganisha na hako kabanda kako ulikojenga huko tuangoma?
Sent using
Jamii Forums mobile app