Nyumba nzuri inauzwa mbezi beach Renbow

Nyumba nzuri inauzwa mbezi beach Renbow

Kwa hizo bei labda nikusaidie wasiliana na dr. Shika
mkuu ninayo nyingine naiuza ipo salasala kinzudi..ina vyumba 3 na sebule pamoja na choo pamoja na jiko la kumalizia ukarabati na ukubwa wa kiwanja ni mita 20 kwa 20 bei yake ni 25m

Karibu sana hii inaweza kukufaa zaidi kuliko kuumiza kichwa na maeneo ya wanaoishi walionazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna weledi katika ufanyaji wako wa marketing na biashara in general ni vyema ukajifunza zaidi
 
Sorry mkuu hunijui sikujui ila kwa uhakika tu ni kwamba waswahili tunasema, usimdhalau mtu usiyemjua utakuja kuumbuka bure..maisha ninayoishi wewe huwezi kugusa hata kwa dawa kwangu wewe ni kama house boy wangu tu mfungua geti. Pole sana na roho yako mbaya ya ibirisi iliyojaa matakataka ya umasikini
Dalali unaishi room moja ya kupanga unapewa kazi ya kuuza nyumba mil.300+ alafu unaongea kama ndo tajiri mwenyewe! Shwain

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry mkuu hunijui sikujui ila kwa uhakika tu ni kwamba waswahili tunasema, usimdhalau mtu usiyemjua utakuja kuumbuka bure..maisha ninayoishi wewe huwezi kugusa hata kwa dawa kwangu wewe ni kama house boy wangu tu mfungua geti. Pole sana na roho yako mbaya ya ibirisi iliyojaa matakataka ya umasikini

Sent using Jamii Forums mobile app
Dalali unaishi Ki BOSS BOSS
itakua udalali unalipa sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Teflon_Don
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom