Nyumba nzuri inauzwa mbezi beach Renbow

Nyumba nzuri inauzwa mbezi beach Renbow

Wengi humu tumejificha kwenye kivuli cha sijui hana uweledi huyu mleta uzi
Ila ukweli, watz tuna ujinga mwingi. This is serious ila wengi wamechangia taka. Dunia inaendeshwa na soko huria. Huna hela you shut that ass-like mouth. Or else, wachangia kwa busara. Watanzania hatujawahi kuwa serious ktk huu ulimwengu.
 
Mkuu me nakushauri ungesoma vizuri hilo tangazo, (1) eneo ni mbezi beach mtaa wa tatu kutoka ufukweni yaani baharini

(2) Eneo lina ukubwa wa 3500sqm

(3) Ndani ya eneo kuna nyumba mbili na moja ina vyumba 3 kimoja Self na nyingine ina vyumba 3 vyote ni self

(4) nyumba ya kwanza ina mpangaji analipa dola 800 kwa mwezi mmoja ambayo si chini ya Tsh 1,700,000/=

Ya pili mpangaji analipa Dola yaani usd 1000 kwa mwezi mmoja sawa na Tsh 2,250,000/=

Sasa kwa mchanganuo huu unaweza kulinganisha na hako kabanda kako ulikojenga huko tuangoma?

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nahis nimechelewa kujiunga huku jf jamani mbavu zangu khaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
NSSF walikuwa wanauza nyumba ya vyumba vitatu milioni 72 VAT inclusive. Kwa hiyo m600 NSSF wangekuuzia nyumbaTISA kama hizi.
Wewe jamaa, hivi unajua bei ya kiwanja sqm2000 mbezi beach rainbow ni tsh ngapi? Unaongelea vile vijumba vya nssf vilivyojengwa kwenye plot za sqm 300?
 
Mkuu njoo kkoo uuziwe kiwanja au jumba bovu la udongo kwa ml 800 ndio utajua kati ya nyumba na kiwanja kipi kina bei...

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua nasoma comment za humu ninagundua kuwa kuna watu haziwatishi kichwani. Mtu anaambiwa ina compound ya sqm 2000/= tena mbezi beach rainbow. Jitu linasema hiyo nyumba haifiki mil 100. Aende ilala pale aone watu watu wanachukua mkopo wa mil 300 kwa dhamana ya pagala lake tu lipo sharif shamba. Ndio ajue kuwa lile pagala linafikia thamani hiyo.
 
Hawajielewi mkuu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom