Nyumba nyumba vyumba vinapangishwa mwenge

Nyumba nyumba vyumba vinapangishwa mwenge

Dadio

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2012
Posts
359
Reaction score
42
habari wana JF, Kuna nyumba kubwa inapangishwa maeneo ya survei, ni kama dakika tatu toka mlimani City. nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, kimoja kati ya hivyo ni master, sebule kubwa, dining room, kitchen na public toilet. bei yake ni 300,000/- shilingi laki tatu tu na unalipa ela yote kwa mwaka, hatuitaji dalali kwa hyo hakuna ela ya udalali kwa atakayeipata. nyumba ya pili ipo sehemu moja na hiyo ila itakuwa wazi kuanzia tarehe moja mwezi wa pili 2013, unaweza kulipa mapema kwa ajili yaa marekebisho madogo madogo, ni chumba na sebule, jiko pamoja na choo chake. bei yake ni 150,000/- shilingi laki moja na nusu kwa mwezi na unalipa kodi ya mwaka mzima, pia hakuna dalali, kwa anayetaka awasiliane na mimi kuiona na kulipa ela. nyumba zote mbili hazina uzio, ila gari zinafika mpaka mlangoni kwako. wasiliana na mimi 0713401812

 
hicho ambacho unakipanganisha kwa laki na nusu ukifika elfu 90 ni pm kuna jamaa anahitaji.......
 
We njoo ulipe hakuna cha udalali hapa. Kama upo serious.
 
bei kubwa bila parking? yaani nilipe hela zote hizo halaf nikapak CCM?
 
Wana jf hzo nyumba zote mbili zimeshalkpiwa. Ila kuna nyingine ya vyumba vitatu ikiwemo master sting room,dining room jiko na public toilet bei ni lak mbili na sabini inalipwa kwa mwaka. Maeneo ya survei. Pia ipo ya vyumba vilwili jiko na choo bei ni laki na thelathin. Inalkpwa kwa mwaka. Hazina fence zote mbili ila gari znafka. Pia hakun dalali. Unalipa na kuhamia. Wasiliana nami kwa namba 0713401812 karibuni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom