Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,104
- 55,514
- Thread starter
- #21
ha ha haBasi kwa kifupi nyumba sio kaburi bali ni sehemu ya kujihifadhi/kupumzisha fuvu baada ya pilikapilika za maisha
ha ha haBasi kwa kifupi nyumba sio kaburi bali ni sehemu ya kujihifadhi/kupumzisha fuvu baada ya pilikapilika za maisha
Miaka 20 ijayo utakuwa wapi?KABURI ni sehemu ya mauti/ufu/ni mlango wa kizimu.
KABURI au mauti sio jambo la heri ni jambo la msiba na hakuna ambaye anapenda ni jambo baya.
KIFO mauti hakuna anayependa
pia kaburi ni mlango wa KUZIMU na ROHO ZA MAUTI
Marko 5
Neno: Bibilia Takatifu
Yesu Amponya Mtu Mwenye Pepo
5 Wakafika upande wa pili wa ziwa wakaingia katika jimbo la Wagerasi. 2 Yesu alipotoka kwenye mashua, mtu mmoja mwenye pepo mchafu alitoka makaburini akaja kukutana naye. 3 Mtu huyu aliishi makaburini wala hakuna aliyeweza kumfunga hata kwa minyororo , 4 kwa maana mara nyingi alipofungwa kwa minyororo mikononi na vyuma miguuni, aliivunjavunja na hakuna mtu aliyekuwa na nguvu za kumshinda. 5 Usiku na mchana alikaa makaburini na milimani aki piga makelele na kujikatakata kwa mawe
KUOTA NDOTO UPO MAKABURINI AU KUONA MAKABURI NDOTONI ..
ni ndoto mbaya inayoashiria hatma ya mauti .
KUFANANISHA nyumba yako unapoishi na KABURI ni kitu kibaya kiroho,kama ndivyo unavyo ona nafsini mwako kuwa nyumba yako ni kaburi.
Mit 23:7
Maana aonavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo.
NINI CHA KUFANYA.
Kataa hiyo ROHO YA MAUTI NA KIFO..kemea NI KITU KIBAYA ,na maneno huumba ukijitamkia kuwa nyumba yako ni KABURI ni kama unajilaani mwwnyewe na unakaribisha ROHO ZA MAUTI na kaburi.
Mungu akusaidie.
.
Kwa hiyo sisi wenye wapangaji tumeoangisha maiti kwenye makaburi yetuNyumba ni kaburi lenye milango na madirisha lililojengwa juu ya ardhi; Ile kufungua mlango na kuingia ndani na kujifungia, ni sawa na maiti inayotembea kujifungia kwenye kaburi lililojengwa juu ya ardhi. Je, wakuu mnakubaliana na hoja yangu?
Kuna vitu viwili tofauti ambavyo havifanani.Miaka 20 ijayo utakuwa wapi?
Nani aliyesema nyumba sio kaburi?Kuna vitu viwili tofauti ambavyo havifanani.
1)KIFO kipo kwa kila mtu mwanadamu hiyo ni fact hata kisayansi ni kwa viumbe hai sifa moja wapi viumbe hai HUFA ni fact sukatai.
2)kuna jambo lingine tofauti na la kwanza,tifauti kabisa kusema NYUMBA yako ingali ukiwa hai KUWA NI KABURI.
1 na 2 hazifanani.
hakuna falsafa kama hiyo..hata kwa wanafasafa wakongwe kina plato aristotle n.k
KIFO KIPO hakuna anayepinga
lakini nyumba yako siyo kaburi.
Umejenga makaburi mangapi juu ya ardhi?Haka kajamaa bana 😅
Kanuni zinasema two premises lazima ziwe zinahusiana.Nani aliyesema nyumba sio kaburi?
Ukiulizwa, kaburi unaloishi limewekezwa kwa bati au vigae?Nimeelewa unachomaanisha, lakini sioni nyumba kama kaburi.
Nyumba ni sehemu ya kuishi, kujenga maisha na kupata amani.
Inategemea mtu anavyoitumia, siyo nyumba yenyewe.