Nyumba ndogo zina viherehere

Jf raha sn! Kuna jamaa humu ana mke wake na ana mchepuko humu humu! Cha kufurahisha mke na mchempuko washachangia hii mada, bado jamaa! Safi sana
 
Kwani kuwa nyumba ndogo ni dhambi,mpaka mtu ashindwe kumuhudumia mwanaume,alaaaa...muwaache wapumue
 
Mwanaume anayempa nyumba ndogo nafasi ya kutawala kuliko mke wa ndoa ndo mwanaume -----.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…