Jamani nina rafiki yangu amepata ajali sasa cha kushangaza nyumba ndogo a.k.a Mchepuko unang'ang'ania umuuguze wakati jamaa ana mke kabisa leo nimebeba msala kwa kukubali kuwa ni mchumba wangu baada ya mwenye mali kuhoji nikaona itakuwa timbwili wodini, tumejaribu kushauri lakini haelewi somo, mwaka jana kuna rafiki yangu mwingine aliugua nyumba ndogo akang'ang'ania wodini ili amuuguze mpenzi wake huku akijua jamaa ameoa hivi kwanini hii michepuko inakuwa na viherehere sana.
Wewe kuhadi weweJamani nina rafiki yangu amepata ajali sasa cha kushangaza nyumba ndogo a.k.a Mchepuko unang'ang'ania umuuguze wakati jamaa ana mke kabisa leo nimebeba msala kwa kukubali kuwa ni mchumba wangu baada ya mwenye mali kuhoji nikaona itakuwa timbwili wodini, tumejaribu kushauri lakini haelewi somo, mwaka jana kuna rafiki yangu mwingine aliugua nyumba ndogo akang'ang'ania wodini ili amuuguze mpenzi wake huku akijua jamaa ameoa hivi kwanini hii michepuko inakuwa na viherehere sana.
Hapo umenena dada kuna moja lilishikwa juzijuzi baada ya kumcheat wee mkewe mbaka likawa linalala hukohuko kwa mchepuko linamdanganya mkewe kazini kuna vimeo. Huku simu zake limeweka password ili mke wake asiweze kubaini nyendo zake na michepuko ila kwa kuwa za mwizi 40 akabainika.Tatizo siyo nyumba ndogo, mwenye kiherehere ni huyo mwenye mke na bado anatafuta wengine nje.
Tena atashikwa huyo za mwizi 40.
poa! Hi!!!
Naomba uni PM tafadhali!
Angalia na wewe usije kuwa nyumba ndogo!???kunanini huko pm??
Angalia na wewe usije kuwa nyumba ndogo!???