Nyumba Ndogo za jf ni . . .


acha tu nishinde humu kuondoa uchungu wa kukatiwa umeme na tanesco......... Ukizingatia na kushiba pilau+joto hata kukumbatiana na hubby hainogi...

Njoo huk kwen baridi mpz lol


nakuja now now.....tanesco ndo wameamua kurudisha umeme sasa..... Achanifanye mpango wa amarula,ninyweee hadi nilegee mbendembende.....


Hahahaaaaa niliwamiss sana washirika daaah.......habari za hapa, mke mwenza? Naona shem Kaizer hachezi mbali:whistle:

​

​



​


 
Last edited by a moderator:

hahahahaha Mi nahisi kuna ka ukweli.... japo mi sijashikwa
 
acha tu nishinde humu kuondoa uchungu wa kukatiwa umeme na tanesco......... Ukizingatia na kushiba pilau+joto hata kukumbatiana na hubby hainogi....

shosti BADILI TABIA unaweza kulala nje kibarazzani manake ndani hapafai hata ufungue madirisha
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…