Nyumba Ndogo za jf ni . . .

mie nimekwida nyumba kubwa yangu hapa.. Hachomoki ng'o na keshokutwa namsindikiza hadi job asije akafidia bure.
Nilikuwa na nyumba kubwa numeitelekeza kwa sasa nimekuja kwa small house
 

mmmmhhh bidada wewe mkali ungekuwa B/moyo sasa hivi unashuka jeusi maana unajua kutabili kama nini..

Boun Natale Kongosho !
 
Last edited by a moderator:
huyo smol hous wako nae kaenda kwa nyumba kubwa yake! Mpo wangapi shem? Tulizana.

Ila siku hizi inabidi tu tukubali, paka akiondoka panya hutawala. Kabla hujatoka kwake sms inatumwa hii pundamilia inatoka in 15mins, anza kuja. Kha!
 
ukitoka airport straight nenda hoteli ya Honolulu sheraton,nimebook presidential suite,chukua vitendea kazi vya kutosha,nwenzio wiki sasa nakula supu ya pweza.
 
Last edited by a moderator:
huyo smol hous wako nae kaenda kwa nyumba kubwa yake! Mpo wangapi shem? Tulizana.

Hata hiyo small house nimeshaiacha nimehamia kwa kubwa zaidi kuchukua cash ya nyama choma nkale na nyumba ndogo kuliko zooote iliyoko kulee kwa mchungaji Masanilo
 
Last edited by a moderator:
bamwelezee Kongosho,halafu kumtaka kwenyewe wala simtaki,anajigonga tu kwangu,kha,mi dabwada la kazi gani,aishie huko kwa kibabu Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Ila siku hizi inabidi tu tukubali, paka akiondoka panya hutawala. Kabla hujatoka kwake sms inatumwa hii pundamilia inatoka in 15mins, anza kuja. Kha!

khaa! Mkwe ndo unamfanyiaga hivyo paw? Halafu nimemmiss mwanao ujue, nataka nirudishe majeshi awe kasmol haus kangu.
 
he he he, wewe hata kwa supu ya Pweza utalika kweli?

ukitoka airport straight nenda hoteli ya Honolulu sheraton,nimebook presidential suite,chukua vitendea kazi vya kutosha,nwenzio wiki sasa nakula supu ya pweza.
 
kumbe roho ikitaka kutoka ndio huwa unakuwa hivyo?

He he he, chezeiya kiuno bila mfupa ndani ya Honolulu wewe?

bamwelezee Kongosho,halafu kumtaka kwenyewe wala simtaki,anajigonga tu kwangu,kha,mi dabwada la kazi gani,aishie huko kwa kibabu Asprin.
 
Last edited by a moderator:
Bon Voyage Ndetchia

hicho kiligha cha chini ndio jibu lake hilo

mmmmhhh bidada wewe mkali ungekuwa B/moyo sasa hivi unashuka jeusi maana unajua kutabili kama nini..

Boun Natale Kongosho !
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…