Nyumba ndogo rahaaa tupu

Dah!!!! Aisee uko nyumba ndogo hatarii Sana wake zetu kaa mkao was kula.. nilichokikuta ukooo
 
Halafu mnatiana? Kwa hiko chakula? Si bora nile supa loaf nzima, ndizi na peanut butter
 
Nyumba ndogo raha sana wakuu, hauchoki kila kitu ni burudani kama mnavyoona wakuu hicho kitu cha ugali.View attachment 816753


We Big Baba mpumbavu sana wewe, kumbe ndiyo wewe unayemchanganya mke wangu, enheeee? Sie huku nyumbani hatuelewani kwa ajili yako na sasa umeenda mbali mpaka unaweka sahani zangu za nyumbani mtandaoni kunikashifu? Haki ya nani nitakuwinda kuanzia sasa. Mi nilifikiri nimeoa kumbe ninachangia mke na wewe fisi?
 
Kwanini uniwinde Mimi muwinde mkeo mkuu. Mwanamke akichepuka kuna tatizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…