BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 786
dah yaani wewe unacheat
unataka na yeye atulie....,
Anakuchukulia wewe kama danga tuu maana una mkewako, anakuchuna anampelekea jamaa yake
Acha aliwe tuuYani wanakera sana kwakweli. Basi uko nje tena unakuta ana mahusiano na zaidi ya mtu mmoja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na weye ni mchepuko mrembo?
Hii comment inahamasishaSio mrembo tu mzuri kabiisaaaa
Vip huko kigoma mko poaMi nmetulia karib pm
ww mwenyewe umechepukia kwake sasa unashangaa nn na yeye kuchepuka pengine ?Mimi nimeo ila nimejaribu pia kuwa na nyumba ndogo kipindi chote cha miaka 20 ya ndoa yangu. Kitu kimoja kimenishangaza hawa michepuko huwa lazima a cheat tu hata kama unampatia kila kitu. Na nimeona hata kwa wenzangu nao wana shida hizo hizo na michepuko yao. Nimejaribu wasichana below 30 tabia ni hizo hizo, nimejaribu ma single mother over 35 nao tabia ni hizo hizo. Hivi nyie michepuko tuwafanyie nini ili mtulie????
Mimi ndo maana nikaamua kujenga tu nyumba moja kubwa kuepusha lawama za kuwa na tunyumba nyumba na pia kulinda matumizi bora ya ardhi ili pia nipate sehemu ya kulima mboga mboga!Mimi nimeo ila nimejaribu pia kuwa na nyumba ndogo kipindi chote cha miaka 20 ya ndoa yangu. Kitu kimoja kimenishangaza hawa michepuko huwa lazima a cheat tu hata kama unampatia kila kitu. Na nimeona hata kwa wenzangu nao wana shida hizo hizo na michepuko yao. Nimejaribu wasichana below 30 tabia ni hizo hizo, nimejaribu ma single mother over 35 nao tabia ni hizo hizo. Hivi nyie michepuko tuwafanyie nini ili mtulie????
[emoji39][emoji39]Hii comment inahamasisha
Vip huko kigoma mko poa