Mkubwa hivyo huna pesa sasa unafanya nini Duniani .
shukrani, ila hiyo offer yako haiendani na thamani halisi ya nyumba.
Inakuwa lowered mpaka ngapi mana kuna watu wametoa offer ila umewatosa. So tusaidie bei ya mwenye houseprice is lowered
muhitaji serious aje akutane na boss.
AiseeNiuzie hyo TV!
hakuna aliyetoa offer, wengi ni wababaishaji tu, let's say mtu anakwambia amekutext pm while it's not true.Inakuwa lowered mpaka ngapi mana kuna watu wametoa offer ila umewatosa. So tusaidie bei ya mwenye house
Noted mkuuhakuna aliyetoa offer, wengi ni wababaishaji tu, let's say mtu anakwambia amekutext pm while it's not true.
nimeweka namba kurahisisha upatikana hata kama siko online jf.
kuhusu bei hiyo ni negotiable!
asking price ndio hiyo 65m but amesema amepunguza endapo kuna mtu atakayeonekana yuko serious.